MFUMO UNAFANYA KAZI KWA SASATunawashukuru sana kwa uvumilivu wenu, tumemaliza mifumo ya matokeo iko tayari, hivyo k...
Mfumo wa Matokeo Bure
Chakata ripoti kuanzia form One hadi Form Four buree.
Fungua
Mfumo wa Matokeo
Ripoti, uchambuzi na SMS kwa wazazi.
Fungua
Panga & Pangisha
Nyumba, vyumba na fremu za biashara.
Fungua
Practicals & Virtual Lab
Majaribio ya maabara + Virtual Lab. Bure kabisa
Fungua
Past Papers
Mitihani na majibu ya kitaalamu.
Fungua
Teaching Resources
Lesson Plans na Schemes.
Fungua
Education for Kids
Video na nyenzo za watoto.
Fungua
Ratiba ya Shule
Ratiba bila migongano.
Fungua
Bei za Huduma
Chagua Kifurushi kinachokidhi mahitaji yako
Fungua
MFUMO WA MATOKEO
KARIBU KAZI HUDUMA
MFUMO WA MATOKEO Huu ni mfumo unaorahisisha kila kitu. Tumia muda mfupi kufanya kazi nyingi — KAZI HUDUMA inafanya mustakabali kuwa rahisi.
Kuchakata Ripoti ndani ya dakika 1Kutengeneza Mkeka wa Matokeo — dakika moja umemaliza. Kuandaa Ripoti ya wanafunzi wote kwa mkupuo — dakika 1 umeshamaliza.
Mfumo mwepesiMfumo ambao siyo mgumu na mwepesi kwa kila mtu kuutumia. Umekuwa ukiteseka na Excel? Suluhisho ni KAZI HUDUMA.
Tuma kwa SMSTuma matokeo kwa SMS kwa kutumia Sender ID ya KAZI HUDUMA au ya shule yako.
Faida
Tuma matokeo kwa SMS kwa kutumia Sender ID ya KAZI HUDUMA au ya shule yako; mfumo unaruhusu kubadilisha Sender ID.
Inafaa kwa
Shule za msingi hadi sekondari (F1–F6), ikijumuisha mitaala ya zamani na ya sasa, pamoja na mkondo wa amali na mkondo wa jumla.
Muda
Hakika huu mfumo unaokoa muda kwani kuliko kuchakata matokeo kwa siku nzima, unachakata ndani ya dakika moja.
Usalama
Mfumo wa Matokeo Unalindwa dhidi ya udukuzi kwa kutumia mifumo mbalimbali ya Ulinzi.
Bei
KAZI HUDUMA tupo kusaidia jamii katika suala zima la matumizi ya teknolojia kurahisisha mifumo ya kiutendaji kwenye kufundisha pamoja na maeneo mbalimbali, hivyo bei zetu ni sawa na bure, kwani mtu anaweza kutumia bure katika mfumo wa version 1.0000000. Pia kujua bei zetu Bonyeza Hapa
Uchakataji
Huu mfumo huchakata matokeo kuanzia shule ya msingi kwa madarasa yote yaani:
- Darasa la Kwanza
- Darasa la Pili
- Darasa la Tatu
- Darasa la Nne
- Darasa la Tano
- Darasa la Sita
- Darasa la Saba
- Kidato cha Kwanza
- Kidato cha Pili
- Kidato cha Tatu
- Kidato cha Nne
- Kidato cha Tano
- Kidato cha Sita
Ratiba
Kazi Huduma pia tunatoa huduma ya ratiba mashuleni, tumia muda mchache kupanga Ratiba na kuepuka Muingiliano wa vipindi.
Uchambuzi wa MatokeoUchambuzi wa kina kwa sekunde chache; charts, summaries, na insights za haraka.
Ripoti za HarakaRipoti za wanafunzi kwa mkupuo, printable na export-ready (CSV/PDF).
Ujumbe kwa WazaziTuma matokeo kwa SMS kwa Sender ID ya shule au KAZI HUDUMA.
KH
KAZI HUDUMAKwa Nini KAZI HUDUMA? Tumia dakika chache kupata ripoti kamili, analytics, na uwezo wa kutuma matokeo kwa wazazi. Mfumo ulioundwa kwa walimu na wasimamizi wa shule — rahisi, haraka, na salama.