Elimu ya Kitaalamu
Zana za kufundisha za utaalamu, mazoezi, na mitihani.
- Mifumo ya Matokeo
- Mazoezi na mitihani
- Zana za kufundishia
Pata ufumbuzi bora wa teknolojia, zana za kufundishia za kitaalamu, na huduma za AI zilizoboreshwa kwa mahitaji yako ya kila siku.
Tayari kuanza? Chagua mpango unaokufaa chini.
Tazama ukweli wa huduma zetu kupitia maoni ya wateja halisi
Tunaomba subira kwa maoni ya wateja wetu wa kwanza
Tunatoa huduma zilizopangwa kwa ajili ya biashara, wateja binafsi na taasisi. Pata ufumbuzi bora wa teknolojia kwa ufanisi na urahisi.
Zana za kufundisha za utaalamu, mazoezi, na mitihani.
Jibu maswali yako yote kuhusu teknolojia bila malipo.
Huduma kamili za maombi ya serikali na leseni zote.
Takwimu zinaonyesha mafanikio yetu na uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja wetu.
Takwimu za maswali yaliyotumwa, yaliyopokelewa na kufanyiwa kazi.
Tunaomba subira kwa maswali ya wateja wetu wa kwanza
Sikiliza kile wateja wetu wanasema kuhusu huduma zetu za kipekee.
Chagua mpango unaofaa kwa mahitaji yako â malipo ya mwezi au mwaka kwa punguzo kubwa.
{{ plan.desc }}
Pata majibu ya maswali ya kawaida kuhusu huduma zetu na jinsi tunavyofanya kazi.
Tunatoa huduma tatu kuu za teknolojia: Elimu ya Kitaalamu (zana za kufundisha na mifumo ya matokeo), Msaada wa Teknolojia (huduma ya bure ya maswali ya teknolojia), na Maombi ya Mtandaoni (kusaidi maombi ya serikali kama BRELA, TIN, vyeti vya kuzaliwa, HESLB, n.k.).
Ni rahisi sana! Bonyeza kitufe cha "Sajili Sasa" juu ya ukurasa, ujaze fomu ya usajili, kisha chagua mpango unaokufaa. Unaweza kuanza kutumia huduma mara moja baada ya usajili.
Ndiyo, tunatoa kipindi cha majaribio cha bure kwa huduma zetu. Unaweza kujaribu huduma zetu kwa siku 7 kabla ya kutoa malipo yoyote.
Tunakubali malipo kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, na kadi za benki. Pia tunatoa chaguo la malipo ya mwezi au mwaka kwa punguzo.
Ndiyo! Timu yetu ya msaada inapatikana 24/7 kujibu maswali yako na kukusaidia kwa matatizo yoyote ya kiufundi.
Ndiyo, unaweza kubadilisha au kusitisha mpango wako wakati wowote. Hakuna ada za kusitisha na unaweza kurudi kwenye mpango uliokuwa unautumia.
Hakika! Tumehifadhi data yako kwa kutumia usalama wa hali ya juu na tunazingatia sera yetu ya faragha. Hatutashiriki data yako na watu wengine bila idhini yako.
Ndiyo, tunatoa dhamana ya kurudishiwa pesa kwa siku 30 ikiwa haujui ridhii na huduma zetu. Hakuna maswali yoyote yaliyoulizwa.
KaziHuduma ni jukwaa la teknolojia na mafunzi linalolenga kufikisha ujuzi wa hali ya juu kwa wateja wetu kwa njia rahisi na ya kisasa.
Tunaamini katika uwezo wa teknolojia kubadilisha maisha na kufungua milango mipya ya fursa.